Search This Blog

November 13, 2012

WANAMITINDO " ALLY REHMTULLAH ,DIANA MAGESSA, KUFUNIKA WASHINGTON DC (DMV) -SAT NOV 24TH KWENYE "MITINDO NITE 3"

TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA"MITINDO NITE -3" USA YANAYO FANYIKA KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC AMBAYO HUANDALIWA NA DESIGNER MAARUFU MA WINNY NA J &P ENT.MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA  KUNA MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA  NA CARIBBEAN PAMOJA NA SUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY",UKUMBI WA KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE " HAFSA KAZINJA". MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA LIVE NA VIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWASUNDAY SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA & MS KAYA !

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...