Search This Blog

November 8, 2012

MSHAHARA WA DHAMBI: WATANZANIA WAFURIKA HOSPITALI YA TEMEKE KUSHUHUDIA WALIOGANDANA, JAMANI MBONA HATUKUSANYIKI KUSAIDIA KULETA AMANI NA KUZUNGUMZIA MAMBO YA MAENDELEO BALI UPUUZI MNAACHA KAZI ZENU MNAKUJA KUANGALIA!!!!!! KILICHOWAFANYA MFIKIRI MADAKTARI WATAWAONYESHA HAO WAHUSIKA NI NINI WATANZANIA WENZANGU?


UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , mapema leo wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kugandiana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 
 Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Police walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya  Temeke kushudia tukio hilo
Baadhi ya watu wakiwa hapo kushudia watu hao walio gandiana
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao
Sikiliza 
Part 1
Part 2
Source: Free Bongo

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...