Search This Blog

November 14, 2012

HII NDIYO SEKRETARIETI MPYA YA CCM.....HONGERA NYINGI ZIKUENDEE MZEE KINANA


Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu.
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu, Bara.
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.
Nape Nnauye-Katibu Mwenezi.
Asha Rose Migiro-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Zakia Meghji-Uchumi na Fedha.
Sekretarieti hii imetangazwa leo mjini Dodoma na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete baada ya uteuzi wake kuidhinishwa na Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichokutana kwa mara ya kwanza mjini Dodoma tangu uchaguzi mkuu wa CCM ufanyike.
(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...