Search This Blog

November 19, 2012

BAADHI YA MAMODEL WATAKAO TAMBA USIKU WA MITINDO NIGHT 3-WASHINGTONG DC NOV24TH.

WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO NITE -3..MR "DMK" & MR "J&;P" WAMESEMA KUWA MA MODELS WOTE WATAKAOSHIRIKI MWAKA HUU NI MAMISS KUTOKAKATIKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA NA EUROPE,WAKIWEMO MISS ETHIOPIA USA,MISS ZIMBABWE USA,MISS NIGERIA USA,MISS GHANA USA,MISS BRITAIN USA,MISS KENYAUSA,MISS SOUTH AFRICA USA PAMOJA NA NCHI ZINGINE NYINGI...PRESIDENT WA MITINDO NITE DESIGNER MA WINNY CASEY PIA AMETHIBITISHA KUWA PRESIDENT WA MASHINDANO YA MISS AFRICA USA ATAKUWA NI MMOJA KATI YA WAGENI RASMI,TUZINGATIE MUDA,SHOW ITAANZA SAA TATU(9.00PM)ZA USIKU,BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA TANZANIA'S QUEEN OF ZOUK "HAFSA KAZINJA" AKIPIGA LIVE NA BENDI YA WANAMUZIKI MAARUFU KUTOKA ZAIRE AKIWEMO  " NGUMA LOKITO" NA WENZAKE,JUMAMOSI HII YA NOV 24

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...