Search This Blog

November 27, 2012

PATA KUSOMA MAENDELEO YA MSIBA WA SHARO MILLIONER NA GARI LILOMUUA MSANII WETU WA KIZAZI KIMYA, MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.


Tanzania has lost another irreplaceable talent, Gone too soon. R.I.P Sharo Milionea
 Hivi ndivyo linavyo onekana gari aina ya Toyota Harrier alilokuwa anaendesha marehem Ramadhan Hassan aka Sharo Milionea mara baada ya kupata nalo ajali na kusababisha kifo chake.
Hivi ndivyo gari hilo inassemekana linavyo onekana kwa mbele.
(naomba mtuwie radhi imebidii tuondoe ile picha ya text maana inaelekea kuna mtu kaamua kujifurahishia na ujitunguia sms ionekane alikuwa anachat na marehemu lakini alikosea mda maana mda ulioweka tayari ndugu yetu alikuwa amesha angulia mbele za haki. Kuna taarifa nyingine kwamba hiyo chat ilikuwa katika mda wa kibongo ikmaanisha saa kumi na dakika 47 alipokuwa njiani????/)
---

YANAYOJIRI KWENYE MSIBA WA SHARO MILLIONEA: 

Hali ya mzee King Majuto presha imepanda na hali kuzidi kuwa mbaya kutokana na kupata taarifa za msiba wa Sharo Milionea.

Mjomba wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo.


Mkuu wa polisi mkoa wa Tanga RPC Costantine Massawe asema Hussein Ramadhani (Sharo Milionea) alikuwa mwenyewe katika gari na ilipotokea ajali gari lilimrusha nje na kufariki hapohapo.

Pia rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye aliyemuazimisha gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda Tanga pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine.

KUMBUKA MWENDO WA KASI UNAUWA!
Kwa hisani ya JG Blog

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...