Search This Blog

November 28, 2012

SHARO MILIONEA AZIKWA KIJIJINI KWAO LUSANGA-MUHEZA TANGAHussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea' enzi za uhai wake.
  Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea' ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
Mazishi ya Sharo Milionea yakiendelea kijijini kwao Lusanga - Muheza, mkoani Tanga.
Sehemu ya umati wa watu walioshiriki mazishi ya Sharo Milionea leo.
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akielezea machache kuhusu marehemu.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA, GPL-TANGA)

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...