Search This Blog

November 30, 2012

CATHERINE FOUNDATION YAZINDULIWA: MBUNGE WA VITI MAALUM BI CATHERINE MAGGIGE ATOA MSAADA WA BAISKELI MKOANI ARUSHA KATIKA FOUNDATION YAKE.

Mbunge wa viti maalum bi Catherine Maggige akisoma taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.
Mbunge wetu akibadilishana mawazo na wageni waalikwaMgeni rasmi ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela Kisalimiana na wageni mbali mbali wakati alipowasili kwenye uzinguzi wa Catherine Foundation leo Asubuhi jijini arusha 


Shukrani nyingi kwa Catherine Foundation, wahusika walizifurahia zawadi
Picha mbali mbali za matukio ya uzinduzi wa Catherine Foundation ulioenda sambamba na ugawaji wa zawadi kwa walemavu wapatao 20 zawadi zilizptolewa na mbunge wa viti maalumu bi Catherine Magige kwa niaba ya Cathrine Foundation leo Asubuhi *(pichaz zote na mahmoud ahmad arusha) 


Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Arusha akijibu maswali ya waandishi wa habari.


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...