Search This Blog

Showing posts with label tanzanite glamour. Show all posts
Showing posts with label tanzanite glamour. Show all posts

September 17, 2012

Timaya - Bum Bum [Official Video].......U Better Get Up n Shake Ur Bum Bum Ladies!!!!!!!


I love the new look.......He shaved the dreadlocks!!!!!!!!!!!!!!

AFTER 2YRS OF LAYING OFF,LE MUTUZ TODAY HITTING THE GYM AT ARENAS GYM SPA, AT OCEAN ROAD DAR

Aiseee Hiki kitambi sikitaki lazima niwe inshape very soon.

Maji ni muhimu watu wangu mkiwa mnafanya mazoezi, mie mwenzenu nakunwa maji mengi sana........

Mazoezi ni jambo muhimu katika maisha na afya, tuzingatie kufanya mazoezi mara kwa mara.

September 15, 2012

BAADHI YA PICHA ZA SHEREHE YA SIKU YA MTANZANIA WASHINGTON DC......GOD BLESS TANZANIA!!!!!!!

Mheshimiwa balozi, mwanamitindo Asya na rafiki yao.

Missy Temeke, wachezaji wa Diamond na mwanamuziki Hafsa mama wa pressure pressure.

Back dancer's wa Diamond Platnumz.......


Baadhi ya waalikwa waliohudhuria kusherehekea na watanzania leo katika ubalozi wa Tanzania

My fellow blogger wa Swahili villa blog na Mwanamziki Hafsa.....aka queen of zouk!!!!!! Picha nyingine zinakuja tembelea tena baada ya muda.
SOURCE: FB

September 14, 2012

SHERIA KUCHUKUA MKONDO WAKE!!!!!!!!!!!!JUSTICE MUST BE SAVED!!!!!!!

Karibu sana katika nchi yenye sheria na kutoa haki kwa wote, Nimekaa kimya kwa kipindi kirefu sana sasa naona unavuka mipaka na maisha yangu, sitazungumza sana ila ivi sasa naelekea kwa mwanasheria, nashukuru kwa kunirahisishia kazi, ninazo snap shots zakutosha zenye vidhibitisho vya kutosha pamoja na comments zote, ulifikiri ukidanganya watu unapata umaarufu, hunijui hujawahi kuniona wewe unafuata vya kuambiwa. Najua mengi yanayokuhusu ila nilishauriwa kuto yaandika hata siku moja nasito yaandika hata.
Waswahili husema ukibishana na mjinga utakuwa mjinga, am taking the high road kisheria nasio kuruhusu mjinga mmoja kujiona kuwa yeye ni wa maana wakati hana lolote la maana. Umenisingizia mengi bila vidhibitisho mara sijui na own udaku special, umechafua familia yangu mpaka kumdhalilisha mzazi wangu. Mimi huwa siongei bila facts wewe mama unapenda kuongea tuu bila kuwa na vidhibitisho.
Sasa hili swala litafikia muafaka very soon, na unae msema ni mume wa mtu hakuna hata record moja hapa marekani inayoonyesha yeye kaoa, kachoka kudhalilishwa sasa naungana nae kushughulikia hili swala kisheria. Yeye ni mfanya biashara mkubwa anae lipa tax katika nchi hii na kusaidia serikali kuajiri raia na  kuisaidia serikali kupunguza unemployment, chochote atakachokihitaji kwa serikali yake akiwa kama raia mwema atakipata, ujumbe alionipa nikupe nikwamba sheria itachukua mkondo wake. Sasa kwa sababu wewe ni mpungufu wa akili unaehitaji kukumbushwa na kushtuliwa kila mara kama ilivyokuwa wajibu wawalio karibu na wewe sasa hii nchi mama sio ile ya Tanzania ya kujuana  sijui na watu hapa ni sheria tuu.
Nakushukuru sana tena sana kwa kunirahisishia kazi, wote hao uliowaandikia wasome uchafu wako siku watakuja kujua ukweli wa kila kitu na hiyo tabia ya kuchafulia watu majina utaiacha. Mama wazazi wangu wanajiheshimu sana na wanapenda watoto na kuwaheshimu watoto kama familia yako haifanyi hivyo basi usifikiri kila mtu yupo sawa na wewe.
Nimepokea support nyingi kutoka kwa watanzania waishio hapa marekani na wakiwa na malalamishi mengi kuruhusu wewe na wapo tayari kuungana na mimi pia kuleta suluhisho la tabia yako ya kuchafulia watu majina pasipokuwa na sababu. Nina uhuru wa kushare picture zangu kwa blog yangu na kuandika lolote ambalo linanifurahisha kama simshushii mtu heshima yake au kukiuka taratibu za uandishi. Blog yangu toka ianzishe haijawahi kurepotiwa popote ya kwako nikiangalia file hapa imereportiwa mara nyingi na imekuwa ikifungwa mara nyingi kwa kufuatia tabia yako ya kudhalilisha watu na kutumia blog yako kuandika mambo yasiyokuwa na ukweli.
Haijalishi ikija kwenye comment who say what, kuna comment moderation sasa ukiruhusu kupublish chochote that means unauhakika nacho ndio manna unaki publish. Welcome to America the land of opportunity for all and the country of rule of law where justice is saved!!!!!!!!!!!!!!!!! Sina mengi naishia hapa endeleza kuandika mengi na kutumia jina langu pasipokuwa na ukweli kwa uyaandikayo.

BLACK MEN ARE THE MOST BEAUTIFUL THINGS I HAVE EVER SEEN IN MA LIFE!! BLACK MEN ROCKS!!!!!!









SOURCE: MOST BEAUTIFUL BLACK MEN.COM

New day, new chapter let me support my friend for their new music video much respect 2 BIG A Entertainment, Anderson keep up the gud job my broda!!!!! Enjoy the new video of Ruffcoin - The Way You Dance Ft. 2Face [Official Video]

September 13, 2012

MAGGY HANLON 30YR BDAY PRAYER......HAPPY BDAY SEXY LADY!!!!!!!!!!!!!


Thank you, God, for giving me another year of life.
Thank you for all the people who remembered me today
by sending cards, and letters, gifts and good wishes.

Thank you for all the experience of this past year;
for times of success which will always be happy memories,
for times of failure which reminded me of my own weakness and of my need for you,
for times of joy when the sun was shining,
for times of sadness which drove me to you.

Forgive me
for the hours I wasted,
for the chances I failed to take,
for the opportunities I missed this past year.
Help me in the days ahead to make this the best year yet,
and through it to bring good credit to myself,
happiness and pride to my loved ones,
and joy to you.
Amen...

Tanzanite Glamour Curvy Closet: Shopping Tips For The Fashionable Ladies With Lots To Love (Get Curvy On A Dime!)

The Curvy Closet is designed to help women of all body types appreciate their shape, and learn style tips to help them maximize their wardrobes. Through the denim, dress and swimwear guides, we’ve highlighted best-kept secrets for categories like petite, hourglass, and bottom-heavy ladies. But this month, we’ve roped in two amazing plus-size fashion bloggers Johara Tucker and Alissa Wilson to provide shopping tips specific to this category. Yep, it’s all about you ladies! But, no matter your shape, the bloggers have advice that everyone benefits from. Keep reading to find out what clothing brands and outlets a great for the curviest ladies.
Brooklyn-based Alissa Wilson runs Stylish Curves. Her inspiration to blog came from her need to fill the plus-size void in fashion blogging and become a resource.
Johara Tucker also hails from BK and her site is Luvin’ My Curves. You can find everything from posts on “Sizeism” and “The Dress Code” to details about events like Caribbean Fashion Plus Week.


TG: What do you think are the most challenging aspects of shopping for plus-sized clothing?
AW: The biggest challenge is being able to go into a brick and mortar store to try on clothes. There are department stores, but they only carry a limited amount of plus sizes, so many women have to do their shopping online.  This causes them to spend more money on shipping and handling!

JT: I’d say finding clothing that is not only stylish, but obviously the fit is crucial. The way the clothing fits is equally as, if not more, important than the way the garment looks. 

Get their designer recommendations............
TG: What are some of your favorite plus-size clothing designers? And which retailers and sites are your go-to when shopping for a deal?
AW: In terms of designers, I am a huge fan of Simply Be, Evans and Style 369. When I’m shopping on a budget I tend to go to H&M, Forever21 and Macy’s. They have an affordable and pretty vast selection for plus sized women.

JT:  I really like Kiyonna and MonifC. If I’m shopping for basics, I will check out ASOS and Avenue, and Land’s End is really good for classic quality pieces. 



MOTIVATION: JILL LOOKS FABULOUS!

Never say never........From this big to sexy size 8........Congratulation Jill Scott!!!!!!!!
Looking super sexy!!!!!!!!

September 12, 2012

STANBIC YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA BENKI YA CHINA ICBC.....

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bashir Awale (kulia) akisaini hati za makubaliano ya kimkakati na Meneja Mkuu wa Wateja wa Makampuni wa Benki ya Biashara na Viwanda ya China (ICBC), Jiang Tao (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya madini ya Tanzania China Mineral Resources inayoundwa kwa pamoja kati ya kampuni ya Kichina ya Sichuan Hongda  na Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Zhao Daoquan jijini Dar es Salaam juzi jioni. ICBC  inamiliki asilimia 20 ya hisa katika benki ya Standard ya Afrika Kusini benki mama ya Stanbic Tanzania. 



WANASEMA MAMA AKIGIVE BACK TO THE FAMILY: MISSY TEMEKE TOOK HER FAMILY ON VAC......HOW SWEET IS THIS JAMANI! HAPPY FAMILY.

Daddy little girl.....

Mr and Mrs 

Lem show u how to drive baby girl!!!!!!!!!

Hubby look @the view........

Relax my sissy kwa raha zako.........

Killer bodyyyyyyy...........

I don't miss my friends hun, its our time now...........lets enjoy to the fullest!!!!!!!

Miss Temeke alitoa photocopy ya mume wake cheki mtoto na baba!!!!!!!!

I wanna be like u when i grow up mama.......

My mommy is my best friend.......

Mama's love baby

sexy as hell.........

Lets enjoy ourself darling!!!

Tunaweza mbeba mama yetu....


UPDATE ZA MSIBA WA DADA YETU MPENDWA HARRIET PHILEMON MASSAMU, BAADHI YA PICHA ZA MSIBA UNAOFANYIKA HIVI SASA MOSHI TANZANIA

My beloved sister harriet coffin ....kwakweli hata kulala nimeshindwa, naishia kulia kaa mtoto, marehemu alikuwa rafiki wa karibu sana nikama my own sister nimemfahamu toka nipo mtoto mdogo. Alikuwa mtu mwenye upendo sana, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameacha mtoto wa kiume asiyekuwa na baba wala mama, baba yake alifariki alipo kuwa very young now mama yake tena kafariki jamani jamani inaniuma sana nikimfikiria huyu mtoto.
Mtoto wake wa kiume akisikitika kumpoteza mama yake jamani, inauma jamani huyu mtoto mdogo hivi kutokuwa na mama jamani!!!!! kabaki hana mama, hana baba pia jamani ni yatima tumuombee jamani

Akitoka marehemu anafuatiwa na Hilda huyu hapa aliyevaa tshirt nyeusi yenye picha ya mpendwa dada yake. Mungu awape nguvu ndugu zangu, nipo nanyie katika msiba huu


Late Harriet baby sister Vivian

Brother Fredy, and the sister...Angela and a friend Eunice

Family members

Family members

Waombolezaji na ndugu wa karibu, akitoka baba yake mdogo mzee Joramu Masamu mwenye shati jekundu aliyevaa suti nyeusi na miwani ni baba wa marehemu mzee Philemon Masamu, pole sana baba.

waombolezaji

My sister Anna crying.......Harriet was a very close friend to her, since child hood

Jessica and Betty are related to Harriet as well.......








Jamani mungu wangu usidumbukie jamani mungu kampenda zaidi yetu jamani, inauma kuona hivi jamani!!!!!!uchungu kweli



Wakifukia mwili wa dada yetu mpendwa jamani!!!!!!!



SOURCE: EUNICE MLAY


YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...