Search This Blog

November 8, 2012

UKIUA KWA UPANGA NAWE UTAKUFA KWA UPANGA!!!!!! NOKIA YA MCHINA YA ELFU 15,000 YAMPONZA.

WATANZANIA WENZANGU TUACHE KUCHUKULIA SHERIA MKONONI JAMANI!!!!!! PELEKENI WAHALIFU VITUONI SIO KUWAPIGA NA KUWACHOMA MOTO!!!!!!!!! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEPONI!!!!!!!! DHAMBI ZOTE NISAWA, MBONA HATUUWAWI KWA DHAMBI NYINGINE? FIKIRIA TAFAKARI USIKU MWEMA NDUGU ZANGU NA HASUBUHI NJEMA KWA MLIO AFRICA ,UK NA PANDE ZOTE ZA DUNIA!!!!!!!

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...