Search This Blog

November 4, 2012

JE WAJUA MISS TANZANIA WA MWAKA HUU HAKUVAA CROWN? WAJUA KWANINI? PATA HABARI.....

Tanzanite Glamour TMZ atunukishia yaliyojiri katika usiku wa walimbwende kama ifuatavyo: Kamati ya miss Tanzania imeleta aibu kubwa usiku wa jana baada ya crown ya miss Tz 2012 kupotea back stage bila kujulikana aliyeichakachua nani!!!!!! Hii ni aibu sana, mrembo wetu Bridget Alfred kama mnavyomuona ali smile bila kuchukukia akabeba maua yake kama vile hakujua kilichotokea. 

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...