Search This Blog

November 3, 2012

DIAMOND ALITUMBUIZA MISS TZ: BRIDGIT ALFRED ACHUKUA TAJI LA MISS TANZANIA 2012......HONGERA SANA MREMBO WA SINZA!!!!!!!!!

Mrembo Bridgit Alfred katika furaha akisubiria kuvalishwa taji.......

Akipunga mkono kwa ishara ya upendo na furaha kwa ushindi wake alioutwaa masaa machache yaliyopita.

Tunakutakia kila la heri mrembo wetu uweze kuliwakila taji lako vyema na kuweza kuipa sifa nchi yako ya Tanzania popote pale.Kidoti....

Top 5

Wasafi kwa Stage....


Source: Michuzi na This is Diamond blog

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...