Search This Blog

November 20, 2012

TAARIFA YA MSIBA LONDON, UK NA DAR ES SALAAM (TABATA)-TANZANIA

kufuatia kifo chan ndugu na rafiki yetu mpendwa FRED ALEX MTOI, kilichotekea ghafla siku ya Ijumaa usiku, tar 16/11/12 katika Hospitali ya North Middlesex – London, mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Dar Es Salaam kwa ajili ya mazishi inafanyika.
Tunawaomba ndugu na jamaa wote kujitolea kwa kusaidia michango yenu ya khali na mali ili tuweze kufanikisha kukamilisha suala hilo.
Tunaomba michango yote iwekwe kwenye: Account Number: 10299068
Sort Code:30-93-29
Lloyds TSB Bank
Mr.Israel Saria

Mratibu wa mchakato wa kuusafirisha mwili wa marehemu.
TARATIBU ZOTE ZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU ZITATOLEWA MARA TU ZITAKAPO ANDALIWA - KATIKA BLOG HII NA NYENGINEZO. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA SARIA 07791284317 AU WILLIAM 07404531448.
TUNAPENDA KUWASHUKURUNI NYOTE PAMOJA NA OFISI ZA UBALOZI WETU – UK NA BBC – LONDON KWA USHIRIKIANO WAO MKUBWA MNAOUNDELEZA.
KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU (TZ) NA JUMUIYA YA WATANZANIA – UK NA NORTHAMPTON. 

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...