Search This Blog

October 13, 2012

TANZANIA USALAMA WA RAIA UPO WAPI KAMA RPC KAUWAWA?RPC WA MKOA WA MWANZA LIBERATUS BARO AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza  Liberatus Barlow  (pichani) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia leo.
Tukio hilo limetokea katika eneo la Kitangiri majira kati ya saa saba na saa nane usiku wakati RPC huyo akimrejesha nyumbani dada yake wakitokea kwenye kikao cha harusi.
Taarifa  hizo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na kwa undani wa tukio hilo ni baada ya uchunguzi.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...