Search This Blog

October 26, 2012

BONGA NA STARLISHA LEO NDANI YA STUDIO ZA BONGO RADIO KUANZIA SAA 2PM-4PM EASTERN TIME!!!!!!!

Ntakuwa na short interview na Dj KC wa Houston ndani ya Bongo Radio studio muda mfupi kuanzia sasa.....Kwa wale wasikilizaji wangu wa Bongo radio msikose kukutana nami na Dr Love Hassan GQ kama kawaida kila jumanne 10pm-2am. Bongo radio na Tanzanite glamour blog ndio habari ya mujini........

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...