Search This Blog

October 21, 2012

SIASA INA SIASIKA NA VIMBWANGA MPAKA NDANI YA BUNGE..... DAAAH SOPHIA SIMBA ANAKIMBIZA KINA MAMA TANZANIA DAAH KWELI SOPHIA SHUJAA!!!!! MTI ULIOJAA MATUNDA SIKU ZOTE HUPIGWA MAWE ULIO NYAUKA HUKALIWA NAKUFANYWA KUNI!!!!! THIS IS WHY I LOVE POLITICS!!!!! FREEDOM OF SPEECH....


AIBU YA JANA KWENYE UCHAGUZI WA UWT!!!

Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

MAMBO YA VIDOLE JUU MPAKA BUNGENI HATAREEEEEEEEEE..........NAPENDA WANAWAKE TUNAVYOKUJA JUU KIMAENDELEO, KISIASA KIUCHUMI, KIBIASHARA JAMANI WE ARE RUNNING THE WORLD RIGHT....WANAWAKE JUU MAMBO KAMA HAYA ZAMANI YALIKUWA HAYATOKEI ILA KWA SASA IMEKULA KWAO....HATU STOPISHWI WANAWAKE TENA HATA TUKIKOGOMBANA KWA AJILI YA KUJILETEA MAENDELEO NI SAWA TUU. BIG UP TO ALL OF U NAWAPENDA WOTE!!!!!!! TANZANITE GLAMOUR HAICHAGUI HAIBAGUI NI KISIASA ZAIDI KWA HII HABARI!!!

SOPHIA SIMBAEEEEEEEE TUNAKUPENDA!!!!!! SOPHIA SIMBA EEEEEE TUNAKUPENDA!!! KUTOKA TANZANITE GLAMOUR TMZ WA TG WABONGO ANANIAMBIA UKUMBI ULIJAWA NA TAFRANI....ILIKUWA FULL TASHTITI

SOURCE: BLOG YA WANANCHI YA WILLIAM MALECELA, WAWEZA TEMBELEA BLOG YAKE PIA KWA HABARI MBALIMBALI.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...