Search This Blog

October 20, 2012

KUTOKA GLOBAL PUBLISHER LEO.....YANIYONIKUNA NA KUNISIKITISHA PATA UHONDO KWAKUNUNUA NAKALA YAKO YA GAZETI.


Jenerali Davis Adolf Mwamunyange
Habari zilizotufikia kabla hatujaenda mitamboni  zinasema kuwa  mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi  wakiwa na wenzake waliingia katika kambi ya JWTZ 511 KJ bohari kuu ya kijeshi iliyopo Gongolamboto  jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutaka kupora silaha askari waliokuwa ulinzi ndani ya kambi hiyo.
Kutokana na  purukushani ya tukio  hilo mmoja wa majambazi hayo aliuwawa na wananchi wenye hasira kali.
HBR PICHA HARUN SANCHAWA


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...