Search This Blog

October 24, 2012

Shame on You Hon Philipo Augustino Mulugo, Dep Min of Education & Voc Training, Tanza...


Kutoka fb si maneno yangu wadau: Ulikimbia shule, kwa kuwa unajua kuongea sana kuliko wenzako na porojo mingi mdomoni unataka kupitia katika mapungufu ya siasa ya tanzania ili ugombee ubunge baadaye uitwe waziri! Uje uchukue 10% katika mikataba ambayo huwezi kuisoma! Kubwa zaidi ukutumwa nje ya nchi na mabosi wako kwa kuidhihirishia dunia kuwa wewe ni kilaza unawadanganya kuwa tanzania ni muungano wa 
zimbabwe na tanganyika!


 • 8 people like this.
 • Elineca Ndowo Mwijage ha haha hhaaaaaa.. hyo kiboko
 • Alyne Ruta Duh, huyo kilaza ni nani jamani??
 • Wilbert Simbila Kaka wewe acha tu, ilikuwa ni aibu kwa taifa. Naibu Waziri wa Elimu anayesimamia Wizara nyeti kwa maendeleo ya nchi anakuwa hana hata ule upeo wa Muungano wa Tanzania. Inatia aibu. Huyu jamaa inabidi atuombe msamaha watanzania wote.
  about an hour ago via mobile · Like · 1
 • Cosmas Mtei Madhara ya kupeanamadaraka hayo kaka. 2015 tunataka mabadiliko.
 • Mbilu Sam kk hii umeitoa wapi? tupo source maana inafaa kumpa kenge mmoja anajifanya mwanasiasa, mtoto mdogooo anajiita kada wa chama cha kijani.
 • Ntwa Katule Inawezekana alichapia kwa upande mwingine siwezi kumlaumu sana. Maana naona watu mmeshupalia pointi moja. Labda tunge discuss the all presentation in general. Je alichemka?
 • Ritha Simon hahahhaha wanakwepaga masomo ya sayansi eti ni magumu sasa huo uraia wa darasa la4 cjui la5 hajui au tangia primary alikua ni kilazaaaaa shame on face yake wiziii mtuuupu au hata hotuba za hayati baba wa taifa alikua hasikiliziiiii!!!
 • Rose Kanjagaile sent!! delivered je?
  about an hour ago via mobile · Like · 1
 • Kimambo ON Ntwa Katule@ kwa maana ya presentation nzima na kwa hadhi yake(naibu waziri wa elimu) ni dhahiri kuwa kachemka, hakuna excuse! Kuna makosa yetu kama waswahili kuwa kiingereza kinatupa shida lakini hili la muungano wa zimbwabwe na tanganyika, na msisitizo kuwa imeungana 11964 hatuwezi kulifumbia macho. Swala kama hili ukimwamsha mtoto wa darasa saba usiku ukamwuliza hawezi hata kwa uchawi kuitaja zimbabwe!
  25 minutes ago via mobile · Like · 1

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...