Search This Blog

October 22, 2012

MISS TEMEKE BEAUTIFUL PRINCESS FATMA TURN 8.....

Congratulation Baby Fatma, akiwa na mama na baba 
Tanzanite Glamour blog inakutakia kila la heri na mungu akupe miaka mingi yenye baraka na ukue vyema shangazi yangu. Love u princess.
With her friend......

Mama's loveFatma brother.....

Rajhoma nae alikuwepo na wanae katika kusherehekea bday ya mtoto wa missy temeke.


Fatma and her friend
Hongera rafiki yangu......
Happy family
Miss Temeke aka Kimora lee with her beautiful family.....Fatma anataka kuja kuwa designer kama mama yake.....ashaanza kujifunza kaeni mkao wa kupendeza watoto next fashion show kuna Fatma creation akijaribu kumotivate American kids kuvaa kiafrica.


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...