Search This Blog

October 13, 2012

Mazishi ya Mtanzania aliefariki Maryland US Marehemu Clarrise Maya Niyonkuru Azikwa


Baadhi ya wanajumuiya wakishindikiza Jeneza lililobeba mwili Marehemu Dada Clarrise Maya Niyonkuru, kwa ajili ya  kusaliwa baada ya sala ya Ijumaa katika, msikiti wa (MCC) uliopo Silver Spring Maryland Nchini Marekani

 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Dada Clarrise Maya likishindikizwa kwa ajili ya  kusaliwa

Baadhi ya waumini wakiwa tayari kwa ajili ya kusala sala ya maiti iliyosaliwa njee ya msikiti wa (MCC) uliopo Silver Spring Maryland Nchini Marekani

Msafara wa magari ya mazishi ya Marehemu Dada  Clarrise Maya, yakiongozana katika barabara ya New Hampshire Ave  Siku ya Ijumaa Oct 12, 2012

Jeneza likielekezwa katika makaburi ya Makaburi ya FT Lincoln Cemetary yaliopo barabara ya  Bladensburg  Brentwood Maryland Nchini Marekani.

Marehemu alipozikwa siku ya Ijumaa Oct 12,2012 Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMIN.SOURCE: SWAHILI VILLA BLOG

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...