Search This Blog

October 10, 2012

KUTOKA GP:JOKATE AZINDUA ‘KIDOTI’ KAMPUNI YA UREMBO NA MITINDO


Mkurugenzi Mtendaji wa Kidoti, Jokate Mwegelo, akiizindua rasmi lebo ya Kidoti mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
Bodi ya wafanyakazi wa Kidoti ikitambulishwa kwa waandishi wa habari.
Wadau mbalimbali wa urembo wakifuatilia uzinduzi huo.
Jokate akionyesha aina mbalimbali za bidhaa za nywele.
Mmoja wa mamodo waliovaa wigi la nywele la Kidoti.
Jokate (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mamodo wake.
MWANAMITINDO mahiri Bongo, Jokate Mwegelo ‘Jokate’,  leo amezindua rasmi lebo yake ya mitindo ijulikanayo kama Kidoti.
Uzinduzi huo ulifanyika Ukumbi wa Serena jijini, Dar ambapo kwa kuanzia, Jokate alionesha aina mbalimbali za nywele ambazo amezipa majina tofauti kulingana na alivyozibuni.

                                 (PICHA/HABARI: ERICK EVARIST NA HAMIDA HASSAN / GPL

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...