Search This Blog

October 24, 2012

EXCLUSIVE SNEAK PEEK: AUNTY EZEKIEL'S KITCHEN PARTY USIKU HUU MLIMANI CITY...!!! Habari ndo hiyo tena ya ukweli
Nguo ya ukwee katokeleza hatari
Kapendezajeeee
Mashosti wako kiafika zaidi leo! Full kutokeleza
Chezea Aunty kabalisha kivazi sijui zitakuwa ngapi usiku wa leooooo
Aunty akitambulisha mashosti zake
Wema alitokeleza hivi. Full kupendeza (Props- Martin Kadinda)
Remember you saw it first here. More pics coming soon right here stay tuned...
Sorry about the poor quality better ones coming soon for now enjoy these
Source: Jestina George Blog

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...