Search This Blog

October 29, 2012

KUTOKA GP: RAISI KIKWETE AANZA ZIARA MKOANI KILIMANJARO......


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Vunjo-TLP, Augustine Lyatonga Mrema muda mfupi baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili wilayani same Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012.


Sehemu ya viongozi mbalimbali  wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 kumlaki Rais Jakaya Kikwete ambae ameanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi  wilayani Same Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012 kwa ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
(Picha na IKULU)

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...