Search This Blog

October 17, 2012

NIPENDENI NICHUKIENI UKWELI NTASEMA MPAKA SIKU NAKUFA: MKIKOSA HABARI ZA KUANDIKA ACHENI TABIA YAKUTUNGA MAMBO MSIYOYAJUA SASA MWENYE GAZETI HILI JIANDAE KUPELEKWA MAHAKAMANI KWANI TUNAMCONTACT HUYU DADA AFUNGUE KESI KWAKUHUSISHWA NA MAUAJI YA RPC WETU ALIYEUWA HIVI KARIBUNI. POLE NYINGI KWA FAMILIA YA KAMANDA WETU.

NAONA KILA BLOGGER ALIYEKUWA KAMUWEKA HUYU DADA NAWAONA WANADELETE BAADA YA KUPATA UKWELI WA MAMBO KUTOKA TANZANITE GLAMOUR!!!!!! KAMA UPAPARAZI HAMUUJUI ACHIENI NGAZI TAFADHANI NINA SNAP SHOTS ZA KILA BLOG NA WEBSITE ZILIZOKUWA ZIMEMUWEKA HUYU MWANA DADA NA KUMDHALILISHA. BADILIKENI WAAANDISHI WENZANGU, BADILIKENI WATANZANIA WENZANGU KUPARAMIA MATRENI KWA MBELE KILA SIKU MTAGONGWAAAAAA!!!!!!!!!!! TANZANITE GLAMOUR NDIYO TMZ YA BONGO KWA KUSEMA UKWELI SIWEKAGI HABARI ZA KIZUSHI WALA KUDHALILISHA WATU, BLOG YANGU NI YA UWAZI NA UKWELI.........NIMEKUWA WA KWANZA KUBREAK NEWS.... KAMA NAWAONA MABLOGGER MNAVYOANZA KUBLOGUA UWIIIIIII......TUBADILIKE TUJIFUNZE KUWEKA HABARI ZA UKWELI. REST IN PEACE RPC WETU.......
KUMEKUWA NA TABIA YA BAADHI YA WATU KUTUMIA MITANDAO KUANDIKA HABARI ZA UZUSHI ZISIZOKUWA NA UKWELI NA KWASABABU WATANZANIA WENGI MNAAMINI KILA MKISOMACHO KATIKA MITANDAO SIKU MTAKUJA PATA AIBU KWANI MTAKUTANA NA MAMBO YAAJABU. KATIKA PITA PITA ZANGU JAMANI HUYU DADA ALIYEWEKWA KATIKA HILI GAZETI AKIDAIWA KUHUSISHWA NA MAUAJI YA RPC WETU SIO KWELI. HUYU MWANA DADA NI MMAREKANI SIO HATA MTANZANIA, WALA HAJAWAHI KUFIKA TANZANIA.
IVI KWELI MNACHUKULIA MZAHA KWA KIFO CHA RPC WA MWANZA KWELI? HAMUONI AIBU KUANDIKA MAMBO AMBAYO HAYANA UKWELI JAMANI? HAMUIONEI HURUMA FAMILIA YA KAMANDA WETU WAKATI WANATAKA KUJUA NANI ALIYE MUUA RPC KWELI JAMANI!!!!!! AIBU KUBWA KWA GAZETI HILI LILILOMCHAPISHA HUYU DADA. SASA PATA UHAKIKA......
NAWAOMBA WA TANZANIA WENZANGU MCLICK KATIKA HII LINK MJISOMEE WENYEWE LABDA MIE KIPOFU NISAIDIE KUNIPOFUA TAFADHALI http://thegrio.com/2012/07/06/study-obesity-in-black-women-linked-to-childhood-abuse/
An obese black woman
A new study has linked obesity in black women to abuse in childhood. (Photo: Fotolia)
New research has established a link between obesity in black women and sexual and physical abuse in childhood, according to the Los Angeles Times.
This study “was the first… to look at a large group of African American women for this association,” thenewspaper states, “which has been found among women in previous studies, the researchers from Boston University said in the August issue of the journal Pediatrics.”
Data culled from an ongoing project called the Black Women’s Health Study found that 11 percent of 33,298 women polled in 2005 had been severely sexually or physically abused; 58 percent had experienced at least one instance of maltreatment. (A previous study placed the rate of sexual abuse experienced by black women at 60 percent.)
Boston University researchers found that severe childhood abuse was associated with depression, smoking, and being overweight in adulthood. Marriage and economic stability for black women had an inverse relationship to the level of abuse experienced.
Statistics from the U.S. Office of Minority Health show that “African American women have the highest rates of being overweight or obese compared to other groups in the U.S.,” at a rate of “four out of five African American women.” This phenomenon has created a crisis of preventable conditions such as diabetes and heart disease among those affected.
High levels of obesity among black women has been a hot topic of recent debate. The New York Times published a controversial essay in early May by novelist Alice Randall, in which she says black women are fat out of personal preference.
Discussions of black women’s obesity rippled on for many days inspired by Randall’s opinion, with one author countering that black women are not fat out of preference, but because of “poverty, as well as lack of education.”
This latest study provides an additional level of causes to consider. While the study authors explained that definitive causes of obesity in adulthood are difficult to determine, emotional eating as a result of early trauma might be a “common sense” method of coping with abuse.
Follow Alexis Garrett Stodghill on Twitter at @lexisb.

MIE HUWA NASEMA KILA SIKU NI ONLY STUPID PEOPLE WITH LOW THINKING CAPACITY WATAKAOWEZA KUFANYA MAMBO KAMA HAYA, MIJINAMIZI MINGI IMEKUWA IKITUMIA MITANDAO KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI IKIFIKIRIA INAJIPATIA UMAARUFU KUMBE NI KUJIDHARAULISHA. WATANZANIA WENZANGU TUELIMIKE TUBADILIKE TUSIAMINI KILA TUKISOMACHO MITANDAONI NA MAGAZETINI, WENGI HUWA WANAKUWA NA MA FRUSTRATIONS WANAONA PAKUMALIZIA NIKUANDIKA UZUSHI USIO KUWA NA UHAKIKA.
KIFO CHA RPC WA MWANZA KILINIUMA SANA TENA SANA BASI TUU NILIKUWA SUPER BUSY KTK KUREKEBISHA MAMBO YA KIFAMILIA NIKASHINDWA KUWA NAWARUSHIA MATUKIO ILA NIMEUMIA SANA NIKIWA KAMA MTANZANIA KUONA MAGAZETI YA TANZANIA YAKIANDIKA HABARI ZA KIZUSHI, MA BLOG KUANDIKA MAHABARI ZA KIZUSHI MAFACEBOOK KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI. TUBADILIKE TUANDIKE MAMBO SAHIHI NASIO UZUSHI.
HUNA HABARI KABADILISHE MTOTO NEPI, KAFUE NGUO, KAPIKE, NENDA KANISANI/MSIKITINI/ TUBU DHAMBI AU FANYA LOLOTE LA MAANA ZAIDI YA KUKALISHA TAKO CHINI KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI KAMA HIZI. NIMEUMIA SANA. 
NAIOMBA SERIKALI YANGU NA JESHI LA POLISI KUFUATILIA KWA KINA KWANINI HILI GAZETI WAMEPUBLISH INFO ZA UZUSHI NA UONGO.
YAANI SIJUI TANZANIA TUNAELEKEA WAPI? SIJUI KWANINI WATU HAWAFUATI SHERIA ZA UANDISHI KHAAAAA AIBU TUPU!!!!!!! YAANI FAMILIA YA MAREHEMU WANALIA WANAUMIA KUMPOTEZA MPENDWA WAO, MAGAZETI WANAFIKIRIA NAMNA YA KUMCHAFUA RPC WETU KAMANDA WETU ALIYEFANYA KAZI NZURI YA KUJENGA TAIFA KUTULINDIA RAIA WETU WAO WANAFIKIRIA WADANGANYE NINI KUPATA PESA WAKIUZA MAGAZETI SHAME!! SHAME!! SHAME KWA GAZETI LA RISASI !!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...