Search This Blog

September 19, 2012

WAZIRI MKUU WA ZIMBABWE AOA MWANAMKE MWINGINE

 WAZIRI Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, Jumamosi iliyopita alioa mwanamke mwingine katika sherehe ambayo haikufanyika kiserikali.
Tsvangirai (60) ambaye  amemwoa Elizabeth Macheka (35), hakuweza kufunga ndoa kamili kiserikali kwa vile kuna mwanamke mmoja aliweka zuio la kufanyika kwa ndoa hiyo akidai waliwahi kuoana kimila.
Mke wa kwanza wa kiongozi huyo, aliyeitwa Suzan alifariki akiwa na umri wa miaka 50 katika ajali ya gari mwaka 2009.
 My sweetie sugar banana lem kiss u hahahahahahahahh hiiii kali ya huyu waziri jamani!!!!!!!
Kikwapa cha huyu mke wa waziri jamani mbona cheusi sana? Wapi wax sahau kushave mama lao ndiko kunakoleta maafa kaa haya...........Kuepuka kikwapa cheusi hakikisha unawax sio kushave!!!!!!
SOURCE: GP

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...