Search This Blog

September 14, 2012

SHERIA KUCHUKUA MKONDO WAKE!!!!!!!!!!!!JUSTICE MUST BE SAVED!!!!!!!

Karibu sana katika nchi yenye sheria na kutoa haki kwa wote, Nimekaa kimya kwa kipindi kirefu sana sasa naona unavuka mipaka na maisha yangu, sitazungumza sana ila ivi sasa naelekea kwa mwanasheria, nashukuru kwa kunirahisishia kazi, ninazo snap shots zakutosha zenye vidhibitisho vya kutosha pamoja na comments zote, ulifikiri ukidanganya watu unapata umaarufu, hunijui hujawahi kuniona wewe unafuata vya kuambiwa. Najua mengi yanayokuhusu ila nilishauriwa kuto yaandika hata siku moja nasito yaandika hata.
Waswahili husema ukibishana na mjinga utakuwa mjinga, am taking the high road kisheria nasio kuruhusu mjinga mmoja kujiona kuwa yeye ni wa maana wakati hana lolote la maana. Umenisingizia mengi bila vidhibitisho mara sijui na own udaku special, umechafua familia yangu mpaka kumdhalilisha mzazi wangu. Mimi huwa siongei bila facts wewe mama unapenda kuongea tuu bila kuwa na vidhibitisho.
Sasa hili swala litafikia muafaka very soon, na unae msema ni mume wa mtu hakuna hata record moja hapa marekani inayoonyesha yeye kaoa, kachoka kudhalilishwa sasa naungana nae kushughulikia hili swala kisheria. Yeye ni mfanya biashara mkubwa anae lipa tax katika nchi hii na kusaidia serikali kuajiri raia na  kuisaidia serikali kupunguza unemployment, chochote atakachokihitaji kwa serikali yake akiwa kama raia mwema atakipata, ujumbe alionipa nikupe nikwamba sheria itachukua mkondo wake. Sasa kwa sababu wewe ni mpungufu wa akili unaehitaji kukumbushwa na kushtuliwa kila mara kama ilivyokuwa wajibu wawalio karibu na wewe sasa hii nchi mama sio ile ya Tanzania ya kujuana  sijui na watu hapa ni sheria tuu.
Nakushukuru sana tena sana kwa kunirahisishia kazi, wote hao uliowaandikia wasome uchafu wako siku watakuja kujua ukweli wa kila kitu na hiyo tabia ya kuchafulia watu majina utaiacha. Mama wazazi wangu wanajiheshimu sana na wanapenda watoto na kuwaheshimu watoto kama familia yako haifanyi hivyo basi usifikiri kila mtu yupo sawa na wewe.
Nimepokea support nyingi kutoka kwa watanzania waishio hapa marekani na wakiwa na malalamishi mengi kuruhusu wewe na wapo tayari kuungana na mimi pia kuleta suluhisho la tabia yako ya kuchafulia watu majina pasipokuwa na sababu. Nina uhuru wa kushare picture zangu kwa blog yangu na kuandika lolote ambalo linanifurahisha kama simshushii mtu heshima yake au kukiuka taratibu za uandishi. Blog yangu toka ianzishe haijawahi kurepotiwa popote ya kwako nikiangalia file hapa imereportiwa mara nyingi na imekuwa ikifungwa mara nyingi kwa kufuatia tabia yako ya kudhalilisha watu na kutumia blog yako kuandika mambo yasiyokuwa na ukweli.
Haijalishi ikija kwenye comment who say what, kuna comment moderation sasa ukiruhusu kupublish chochote that means unauhakika nacho ndio manna unaki publish. Welcome to America the land of opportunity for all and the country of rule of law where justice is saved!!!!!!!!!!!!!!!!! Sina mengi naishia hapa endeleza kuandika mengi na kutumia jina langu pasipokuwa na ukweli kwa uyaandikayo.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...