Search This Blog

September 3, 2012

Makutano Show: Mahojiano dhidi ya Fina Mangona Basil MrambaBila shaka unatambua kwamba kipindi cha Makutano anachokiendesha Fina Mango,kimeanza kushika kasi.Wageni mbalimbali wameshakibariki na kutupa mambo na masuala ambayo hapo nyuma yalikuwa hayasikiki.Ni uwanja mzuri kwa wao kutueleza mengi,kwa maneno yao wenyewe,kuhusu masuala mbalimbali,kashfa mbalimbali na hata historia za maisha yao kwa undani.
Mwishoni mwa wiki hii iliyopita,Fina Mango alipata nafasi ya kuongea na Mh.Basil Mramba ambaye kama tunavyojua,ni mkongwe katika siasa za Tanzania na mtu ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali za kiuongozi zikiwemo zile ambazo zimemfanya hivi sasa awe kwa “pilato” akisubiri maamuzi halali. Sikiliza mahojiano hayo hapo chini;


Read more: BongoCelebrity

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...