Search This Blog

September 24, 2012

KWETU FASHION DINNER FUND RAISE ILIFANA NA HERI PANCHA YA GARI KULIKO JIRANI MWENYE KERO.....MISS TEMEKE NI ONE AND ONLY TANZANIA DESIGNER MAREKANI ANETIKISA HANA MPINZANI.

Msg From Missy: You see what you believe. I see what my heart believes. You see man. I see humanity. You see life. I see a Gift........ Kwetu fashion designs by Missy Temeke.

What a lovely family......Miss Temeke na Wanae katika kuonyesha mambo super matunda ya creation ya mama yao!!!!!!! Yaani mie namfananisha miss Temeke hapa na Kimora Lee Simon akiwork run way na watoto wake. Gud job my sissy kwanzia leo ur my Kimora Lee

Haka kaujumbe katamu kweli, nifundisho kwa wale majirani wenyekero na kazi za wenzao, fanya kazi yako kwa usahihi achakukosea wengine au kijiona wewe ndio unaweza.......Kwetu fashion juu, Kwetu fashion fundisho kwa wale wanaovizia kazi za wenzao na kuiga iga.....wish u all the best Miss Temeke....

Hongera kwa kazi nzuri Miss Temeke, nafurahia kuona ukifanya kazi nzuri ur own creation sio copy n paste kutoka kwa magazeti, na baadhi ya designer wengine, tushachoka kuona watu wakidesign vitu vile vile, twakushukuru kwa kutoa changamoto kwa designer wengine. Chukueni mfano kutoka kwa KWETU FASHION.


The one and only Tanzania Designer in USA......aka Kimora Lee Simons

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...