Search This Blog

September 12, 2012

UPDATE ZA MSIBA WA DADA YETU MPENDWA HARRIET PHILEMON MASSAMU, BAADHI YA PICHA ZA MSIBA UNAOFANYIKA HIVI SASA MOSHI TANZANIA

My beloved sister harriet coffin ....kwakweli hata kulala nimeshindwa, naishia kulia kaa mtoto, marehemu alikuwa rafiki wa karibu sana nikama my own sister nimemfahamu toka nipo mtoto mdogo. Alikuwa mtu mwenye upendo sana, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameacha mtoto wa kiume asiyekuwa na baba wala mama, baba yake alifariki alipo kuwa very young now mama yake tena kafariki jamani jamani inaniuma sana nikimfikiria huyu mtoto.
Mtoto wake wa kiume akisikitika kumpoteza mama yake jamani, inauma jamani huyu mtoto mdogo hivi kutokuwa na mama jamani!!!!! kabaki hana mama, hana baba pia jamani ni yatima tumuombee jamani

Akitoka marehemu anafuatiwa na Hilda huyu hapa aliyevaa tshirt nyeusi yenye picha ya mpendwa dada yake. Mungu awape nguvu ndugu zangu, nipo nanyie katika msiba huu


Late Harriet baby sister Vivian

Brother Fredy, and the sister...Angela and a friend Eunice

Family members

Family members

Waombolezaji na ndugu wa karibu, akitoka baba yake mdogo mzee Joramu Masamu mwenye shati jekundu aliyevaa suti nyeusi na miwani ni baba wa marehemu mzee Philemon Masamu, pole sana baba.

waombolezaji

My sister Anna crying.......Harriet was a very close friend to her, since child hood

Jessica and Betty are related to Harriet as well.......
Jamani mungu wangu usidumbukie jamani mungu kampenda zaidi yetu jamani, inauma kuona hivi jamani!!!!!!uchungu kweliWakifukia mwili wa dada yetu mpendwa jamani!!!!!!!SOURCE: EUNICE MLAY


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...