Search This Blog

September 26, 2012

JUKWA LA KWETU FASHION DESIGNS


Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer. Missy Temeke ambae amejitolea kukuza fani yake kwa ubunifu wa mitindo ya kinyumbani, kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kumuunga mkono katika Maonyesho ya ubunifu wa nguo zake kwenye Dinner and Fashion Show iliofanyika Siku ya Jumapili Sept 23, 2012, ndani ya ukumbi wa Keystone Room East Evenue, NW Washington DC Nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...