Search This Blog

July 18, 2012

WATU WANAENDELEA KUOKOLEWA......SHUKRANI NYINGI KWA SERIKALI KWA KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA WANANCHI.

Maiti iliyopatikana ikiwa nusu, jamani mungu awatie nguvu wafiwa wote.

 Serikali yaongeza wazamiaji kutoka Kikosi cha KMKM pamoja na Jeshi kuendelea kuokoa raia waliokumbwa na mkasa wa kuzama meli, mungu aendelee kutenda miujiza yake kuweza kuokoa walio hai.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...