Search This Blog

July 15, 2012

Manjau Celebrated Her Bday With Her Hubby.....@ Wales

This is how she celebrated her bday with her hubby!!!!!!!! Again Happy bday my lovely sister.

Baby am ready.... lets go my darling!!!!!!!!!
 
Honey, you know Starlisha will ask for pictures, please take me few snaps for her.
 
Arriving at the dinner place.......Mwataka kujua wapi??????
 
Shem who was that?....."home wakituma msg kumwish mke wangu happy bday"
 
Manjau said...."Thank u Hubby for such a nice card, dem words are so powerful!!!!!!"
Mbona wanachelewa wakati tulifanya reservation bwana???????????
 
 
Nile nini leo mume wangu???????? Kwani nishachoka kula nje kila siku, nataka something simple n light.
Lets start with Crab cake n crab of ur choice......

There we go baby........mapenzi matamu haswa ukipendwa inabidi ushikamane.
Toa vyombo kinywaji time sasa.....ni muda wa kilauri!!!!!!!
 
Manjau..."Heading to our hotel room kwa mapumziko...."
Alianza na kusuuza koo na chupa ya wine......
Bday day two.......wapi leo mume wangu tena???????
 
Chill mke wangu shaka ondoa.......mtoto wa kichaga kama mnavyomuona anawaka kaa nyota vile, huku akideka kwa mumewe.
All this for me???????? sio hivyo tuu mke wangu....hubby aliweza kubeba vitu vingine kumsaidia kuingiza ndani. Mungu akujalie miaka mingi my sissy uweze kusherehekea tena. Wish you all the best in ur marriage my sissy.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...