Search This Blog

July 19, 2012

RAISI KIKWETE NA RAISI WA ZANZIBAR WAKIKAGUA MAITI ZA WATOTO.

Masikini vitoto vichanga. inasikitisha sana. malaika wa mungu, jaman kama mtu itamkwaza picha hii basi atanisamehe. Jaman tujiulize hawa viongozi wa zanzibar wanasubiri nini mpaka leo hawana meli ya wananchi wao/Meli ya serikali?.na ukiangalia toka karume alipoleta meli mpaka leo kuna kiongozi gani aliefikiria kufanya kama alivofanya karume. Wananchi wa Zanzibar fanye mgombee haki zenu, mkika kimya watazidi kukuuweni hao mafisadi wanaosajili meli zilizo mbovu na tamaa ya kuzidisha abiria katika meli zao .Masikitiko makubwa kwa ndugu zetu waliotutoka,mungu awalaze pema peponi amin.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...