Search This Blog

July 18, 2012

MELI YA HOFIWA KUZAMA ZANZIBAR!!!!!!!!! TUTAWALETEA HABARI ZAIDI.....

Meli yahofiwa kuzama Zanzibar
Meli ya Skagit iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar inahofiwa kuzama katika eneo la Chumbe ikiwa na abiria wapatao 200.
MAONI YANGU JUU YA AJALI ZA MELI NCHINI TANZANIA:
 KWANZA KABISA MUNGU ALAZE ROHO ZA MAREMU MAHALI PEMA PEPONI. ILA HII TABIA YA KUPAKIA ABIRIA WENGI KUPITA KIASI ITAISHA LINI? NA MAMIZIGO KIBAO? PIA TABIA YAKUTOWAPA WATU LIFE JACKET WAKIINGIA KWENYE MELI ITAISHA LINI? SERIKALI HAIKUWA FUNDISHO KWENU MWAKA JANA MAAFA KAMA HAYA YALIPOTOKEA? SERIKALI ACHENI KUTOA VIBALI PASIKO KUKAGUA MELI, WEKENI TIMU YA UKAGUZI KABLA KILA MELI KUONDOKA, WEKENI PATROL MAJINI JAMANI? HIZI ROHO ZA WATU KUPOTEA KILA SIKU SIO SAHIHI KABISA. TAMAA YA PESA NDIYO ILIYOCHUKUA ROHO ZA WAPENDWA WETU, MTAWAFIDIA FAMILIA HIZI VIPI? MTANZANIA TAFAKARI JUU YA HILI.
PIA WANANCHI MNACHANGIA KWA AJALI KAMA HIZI PIA, KWANINI MKUBALI KURUHUSU MELI ILIYOZIDISHA WATU KUONDOKA? JIFUNZENI KUGOMA NA KUKATAA KUONDOKA ,NIMEONA TANZANIA WATU WAKIAMBIWA MELI IMEJAA NA WANAHONGA WAKIOMBA KUTAFUTIWA SITI ZA KUKAA, TUBADILIKE WATANZANIA KUSAVE MAISHA YETU JAMANI. LAWAMA KWA SERIKALI LAWAMA KWA RAIA LAWAMA KWA WAMILIKI NA WAFANYAKAZI WA HIZO MELI.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...