Search This Blog

July 10, 2012

CHADEMA: Serikali Imepanga Kuwaua Viongozi WetuChama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegundua njama na mikakati ya kuwadhuru Viongozi wake Wakuu zinazopangwa na Idara ya Usalama wa Taifa. Tamko hilo lilitolewa kwa Waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe tarehe 08/07/2012. Video hapo juu ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa akiongelea suala hilo.
Video na Chadematv

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...