Search This Blog

April 10, 2012

Wema Sepetu Akikimbizwa Hospitali Baada Ya Kuzimia Makaburini Na Kabla Mwili Wa Marehemu Kufika

Kwa habari tulizokuwa nazo Wema kawekewa drip na amegundulika kupata mshtuko mkubwa uliomletea mapigo yamoyo kushuka. Pole sana Wema na Kila la kheri katika kupata matibabu. Wema alikiri kuwa mahusiano yake na Marehemu yalikuwa hayajaisha nainawezekana kuwa sababu kuu ya kumsababishia kuzimia.
Source: TZ MEDIA.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...