Search This Blog

April 22, 2012

MUNGU AKUPE NGUVU SAJUKI UPONE, TUNAKUOMBEA NA MUNGU ATAKUPONYA.

WABONGO KWA KUZUSHA JAMANI? ETI KAFARIKI ACHENI KUWA NA TABIA ZA KUZUSHIA WATU VITU JAMANI, TUNAELEKEA WAPI WATANZANIA WENZANGU? INAHUZUNISHA NA KUSIKITISHA SANA KHAAA JAMANI SIO VIZURI KABISA WANTANZANIA WENZANGU.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...