Search This Blog

April 7, 2012

STEVEN KANUMBA: MAELFU YA WAOMBOLEZAJI WAMLILIA KANUMBA KATIKA FACEBOOK. FAN'S WA MAREHEMU KANUMBA WATAKA KUJUA CHANZO CHA KIFO CHAKE KWANI KUMEENEA MANENO MENGI KUHUSU KIFO CHAKE. VYOMBO VYA HABARI TANZANIA TUNAOMBA TAARIFA KAMILI KUTOKA HOSPITALI NA KUTOKA POLISI. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

HII NI WALL YA MAREHEMU KANUMBA


BAADHI YA PROFILE PICTURES ZAKE
FANS WALL NA WAOMBOLEZAJI.

ALIWEZA KUPATA NAFASI YA KUKUTANA NA RAISI WA TZ NAKUPATA U KODAC MOMENT ENZI ZA UHAI WAKE.
AKIHOJIWA KATIKA KIPINDI CHA MIKASI...ALIELEZA WAZI KUWA YEYE HANYWI POMBE, HAPIGI MWANAMKE NA AMEKUWA NA HISTORIA YA KUONEWA KATIKA MAHUSIANO. ANGEKUWA MGOMVI LABDA LEO HII ASINGEFARIKI. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA.

IMENIBIDI NI CHUKUE SNAP SHOT NIWEZE KUSHARE NA WASOMAJI WANGU WAWEZE KUONA AMBAVYO FB WATU WALIVYO PATWA NA MSTUKO.

SIMANZI YA TANDA DUNIA NZIMA KUFUATIWA KIFO CHA STEVE KANUMBA ULIPENDWA NA WENGI. PUMZIKA SALAMA KAKA YETU.
MDAU DENIS ALIPEWA AHADI NYINGI NA KANUMBA, PICHA HII WALIPIGA JUZI JUMATANO PAMOJA. ALIKUWA NA SAFARI YA KUELEKEA SOUTH AFRICA SIKU ZA KARIBU ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI.

REST IN PEACE KANUMBA.
No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...