Search This Blog

April 12, 2012

WABONGO WAKIMBIA TSUNAMI.....PATA KUONA WALIPOKIMBILIA HAHAHAH

Wabongo bana, eti baada ya kupewa taarifa za uwezekano wa kutokea Tsunami ktk maeneo ya karibu na fukwe za bahari, hapa ndo wanakimbia eti . . . . . yaan ndo wanakimbia maeneo husika na kwenda mbali zaidI. FUUUULL FOLEN. Yaani kama Tsunami ni shetani watu wangemezwa hapa daaaaah.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...