Search This Blog

June 19, 2012

USIKOSE UZINDUZI WA VIDEO MPYA IITWAYO ALL I NEED YA LINNAH NA AJ UBAO

MWANAMUZIKI    " LINAH" AISHIE TANZANIA NA  "AJ UBAO" AISHIE MAREKANI WATAZINDUA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA WALIYO ITENGENEZEA WASHINGTON DC...JUMAPILI HII USIKU WA TAREHE 24/6  NDANI YA "MAISHA CLUB" DAR-ES-SALAAM NA " LUX  LOUNGE" WASHINGTON DC,KUANZIA SAA 3 USIKU,NA PIA ITAKUWA ONLINE/YOU TUBE KUANZIA JUMATATU TAR 25/6 ASUBUHI.VIDEO HIYO INAITWA "ALL I NEED" IMETENGENEZWA NA KAMPUNI YA "DMK GLOBAL PROMOTIONS" YA MAREKANI CHINI YA DIRECTOR DICKSON MKAMA a.k.a "DMK" 
LINNAH NA AJ UBAO

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...