Search This Blog

June 26, 2012

MAY UR SOUL REST IN PEACE REHEMA KAYUNGI


Marehemu Dada Rehema Kayungi/ Kiyenga
KUNA HABARI ZA KUSIKITISHA KWAMBA KUNA MBONGO AMEFARIKI HUKO ARIZONA NCHINI MAREKANI ANAEJULIKANA KWA JINA LA REHEMA KAYUNGI.  CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAJULIKANA. TUNAPENDA KUOMBA USHRIKIANO WAKO ENDAPO UNAFHAMU NDUGU WA MAREHEMU WALIPO NA KUWAFIKISHIA UJUMBE HUU MUHIMU SANA. INASEMEKANA ANA KAKA YAKE ANEISHI ARUSHA (JINA HALIFAHAMIKI). NA KWA WALE MLIOKO HUKO PIA TUNAOMBA MJARIBU KUTAFUTA NJIA ZA KUPATA HABARI ZAKE NA KUZIKIFISHA ZINAPOTAKIWA, MWILI WAKE UPO MOCHWARI HUKO ARIZONA CITY!
ALIKUWA HANA MAWASILIANO NA WABONGO KABISA, SO TAFADHALINI MSITIRINI MWENZETU HUYO.
HABARI HIZI KWA KWA MUJIBU WA DADA KHADIJA ANEISHI HUKO ARIZONA!!! PLEASE HELP IF YOU CAN!!!
TUTAZIDI KUWALETEA HABARI ZAIDI KADRI TUTAKAVYO KUWA TUNAZIPOKEA.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA WAFIWA WOTE, MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.

KWA HABARI ZAIDI WASILIANA NA DADA MARY MASANYWA ON +1 713-319-7315.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...