Search This Blog

June 13, 2012

BLOGGER'S TUSAIDIANE.......HUWA NAPATA EMAIL NYINGI SIZIWEKI WAZI ILA NIFURAHA KUWA BLOG YANGU INAWEZA KUVUTIA WATU KWA KUFUNGUA ZA KWAO PIA.


 • Hello:

  Napenda kuanza kwa salamu Shikamoo.
  Kwa jina naitwa Mackey Makenya Kabale.
  Na pia ni mmiliki wa blog ya www.gingmagazine.com na pia ni CO editor
  Nina umri wa miaka 22. Nadhani Yu Mzima wa afya.

  DHUMUNI:
  Najua ungependa kujua nia na dhumuni la email hii
  hivi karibuni nimeweza kufungua blog yangu ambayo inahusika na HABARI za fashion na pia lifestyle
  kwa wasanii na watu mashuhuri hapa nyumbani tanzania. na link ya blog yangu ni www.gingmagazine.com
  hii blog ni online magazine. Sasa nia ya kukutumia hii mail ni kukuomba uniweke link ya blog yangu katika
  blog shiriki zako kama utaweza pale pembeni manake naweza sema kuwa kwa kitambo nilikuwa mikitembelea blog yako
  na naweza sema kuwa niliipenda sana blog yako na kiukweli blog yako ndio iliyonipelekea mimi kuunda
  blog hii yangu ila sema mimi nimelenga soko lingine tofauti na lako.....
  na kama utafungua sasa hivi utaona tumefanya interview na mwanamitindo RIO PAUL kuhusu ile EVENT yake na bado kuna project
  nyingi zinakuja nia ni kuteka soko la burudani na fashion pia hapa tanzania na nje ya tanzania

  Kwa maana hiyo kiukweli blog yako imenifundisha sana kwa maana ya kuwa nilikuwa nikikosa taarifa ya habari
  yoyote nilikuwa nikifungua blog yako na nilikuwa nakiipata mpaka. mpaka sasa bado nafanya hivyo

  SHUKRANI
  Nitafrahi sana kama utanijibu mapema na niko tayari kwa jibu lolote
  na kama ungependa kuitembelea na kuikagua link yangu niwww.gingmagazine.com
  ntashukuru kama utaimbelea na kunipa jibu zuri

  Ahsante kwa kuchukua mda wako na kusoma mail hii
  Nashukuru sana = MACKEY MAKENYA KABALE

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...