Search This Blog

June 9, 2012

MBWA WA WEMA APIMWA MAGAUNI.

Mbele ya fundi, Wema alitoa maelekezo kwamba anataka Fiona ashonewe nguo za rangi mbalimbali ambazo yeye anazo ili wakitoka wote wawe wanamechisha.
“Sikia fundi, nataka umshonee nguo za kisista duu za rangi mbalimbali, siku nikitoka naye ‘out’ tunavaa sare, sawa ee?” Alisikika akisema Wema. mbwa wangu ataolewa na mbwa wa Irene uwoya. wangu anaitwa Fiona na wa Irene anaitwa Dallas.. tupo kwenye mipango ya ndoa yao.
 

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...