Search This Blog

June 8, 2012

PICHA ZA VIDEO SHOOT YA WANAMUZIKI AJ UBAO NA LINAH NCHINI MAREKANI KAA MKAO WA KULA KUONA VIDEO ILIYOANDALIWA NA DMK


Linah katika pozi muruwa.......

Bibie Linah akipata ukodak moment na wadau.........

Oooooooh Lovely.........

Linah kasema yeye sio kuimba tuu hata kwenye sport yumo tena kwa sana........

Tamara nae yupo juuu.....

Linah akifanya vitu vyake......

Wamependeza baada ya kumaliza libeneke la kucheza.....

Wish you all the best Linah......Karibu tena Bibieee 


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...