Search This Blog

June 27, 2012

MTANZANIA KUWA MAKINI KATIKA UPIGAJI KURA!!!!! HAKUNA MABADILIKO MAMBO NI YALE YALE TUFANYEJE? 2015 FIKIRI, JADILI NA KUWA MWANGALIFU UNAMPA KIONGOZI GANI NA CHAMA GANI!!!!!

Tangu uhuru bajeti zetu ni kuimarisha afya ya akina mama na watoto je picha hii inatuonyesha nini hasa katika kipindi hiki cha mgomo wa madaktari?? Naona muda wa siasa uishe sote bila kujali itikadi tuanze kuijenga inchi yetu tunakoelekea ni kubaya sana wapendwa siasa imeshindwa kutukomboa.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...