Search This Blog

June 19, 2012

OXFORD BROOKS UNIVERSITY: CONGRATULATION MY SISSY FOR GETTING A SECOND MASTER DEGREE.......


Dada langu la nguvu hoyeeeee......

Jestina na Mama Kelvin mmekuwa part ya familia yetu kwa miaka mingi sana nawashukuru sana na wote waliohudhuria ambao siwezi kuwaweka katika blog kwa sababu maalumu. Tillya family inawapenda wote......

Baby Jaz happy bday leo umetimiza miaka mitatu na kusherehekea siku ya mama yako mwanangu shule ni muhimu sana nakuombea ukue nije kwenye graduation yako pia.

Manjau ulikuwa unacheka nini hapa.......ulikumbuka..............

My beautiful sisters..........
Hongera sana dada yangu Lucy, pia natoa shukrani kwa my sissy happy kuweza kufanikisha hii siku ya graduation kuwa nzuri.....nawashukuru pia watu wote walioweza kufika kusherehekea na dada yangu siku yake hiii........Wanawake wachache ambao wana rudi shule kufanya masters ya pili...wengi wana moja tena kwenye shule za mitaani.  Dada yangu umekwenda shule ambazo zipo juu katika vyuo vinavyoeleweka duniani na huna majidai wala nini, una ongea kisomi unafanya mambo kisomi hujitangazi? hujisifiii huu ni mfano mwema kwangu! mdogo wako graduation yangu yaja soon nafurahi kwa ushauri wako nimepunguza kuparty nakumalizia shule yangu Dec tutasherehekea siku yangu pia. PHD yako lazima ni hudhurie no more kuserebuka.... nimewalet down kwani watu wengine hawana hata wazazi wakuwapeleka shule wengine tunao ila tunacheza.......kucheza kumeisha daddy....Ngoja nichukue hii advantage ya wewe mzazi kunililipia shule baadala ya kuja kusubiri kupelekwa shule na mume, kwani nikuishia kupelekwa shule za mitaani ambazo hazitakuja kunipa kazi nzuri ingawaje ninakazi nzuri sasa hivi ambayo hata wenye master za shule za uhindini hawana .........one more semester to go daddy.....shule haina mwisho haina umri nawashauri wote msikate tamaaa kaza buti....ukitake off kula bata kumbuka kurudi kumaliza...all the best......


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...