Search This Blog

December 14, 2012

MSIBA BOSTON/USA: MZEE YANGA AFARIKI!!


 

MSIBA SPRINGFIELD,MA NA TANZANIA


Tangazo la msiba: kwa niaba ya Richard Mwandemani tunasikitika kutoa taarifa za msiba wa baba yake mzee Edson Mwandemani kilichotokea leo mchana hapa Springfield, Mass. Msiba uko nyumbani kwa Richard 

113 Enfield Street, Indian Orchard, Ma 01151. 

Mipango ya mazishi inaendelea ili mzee wetu aweze kurudishwa nyumbani Tanzania. Tafadhali ungana nasi kuwafariji wafiwa kwa hali na mali. Tutatoa taarifa zaidi baadae namba ya simu ya 

Isaac Kibodya (413) 219-1153 na Kawala Mgawe 

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...