Search This Blog

December 9, 2012

DALLAS: SITTI NA AZIZA WAMFANYIA BDAY KAKA YAO RICHY @BLUE MARTINI SHOPS OF LEGACY.......

Marafiki wakaribu wakimpongeza Richy Richy katika bday yake...

Busu kutoka kwa dada(sitti) akimpongeza kaka yake Richy

Mgeni akiwa na Familia

Peter Kihwili ndani ya bday pendeza sana wewe, akiwa na Richy n rafiki ya Richy mmependeza kaka zangu.

Mama Lao Asha ngedere aka Itika nae alikuwepo hawezi kusekana kwani Richy ni kaka yake pia......

Waalikwa katika kusherehekea.....na familia ya mtevuItika na Richy....

Da Mwamvua na wapendwa wake.....

Warembo akianza Sitti in red, Da Mwamvua na AzizaSisters........

Mama Itikalicious.......
Mama wa CL glory Padmore nae alikuwepo na hubby wake.No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...