Search This Blog

August 2, 2013

MKURUGENZI WA SWAHILI TV ALEX KASSUWI AKA ALEX KING AIFIKISHA SWAHILI TV HOLLYWOOD KWA KISHINDO.Alex Kassuwi aka KING akienda kwenye moja ya mikutano ya kusaini deals, Hollywood blvd, California
 Mpiganaji The CEO Davis Mosha akiwa katika mazungumzo na Mwanzilishi na Boss wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot
 Crew mpya wa Swahili TV Bwana J akiwa na mkurugenzi Bwana Alex kassuwi (King)
  Alex K. King  akiwa na mkurugenzi wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot.
 Furaha baada ya Mkutano kati ya maboss wawili Alex na Charles
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV www.swahilitv.blogspot.co

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...