Search This Blog

August 8, 2013

MFANYABIASHARA ERASTO MSUYA WA JIJI LA ARUSHA AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

SASA TANZANIA WATU WANAHITAJIKA KUWEKA BULLET PROOF KWA MAGARI YAO AU KUVAA KWANI WANANCHI WACHACHE WENYE CHUKI WANAIHARIBIA JINA NCHI YETU. MAREHEMU ERASTO APUMZIKE SALAMA, INASIKITISHA SANA KWA RAIA KUTOKUWA NA ULINZI HATA BARABARANI, SERIKALI ISAIDIE KUONGEZA KUWEKA PASTROL ZA POLISI. NIMEUMIZWA SANA NA HILI TUKIO.

MWILI WA MAREHEMU UKIWA NA MAJERAHA YA RISASI

WATANZANIA WACHACHE WAMEIGEUZA TANZANIA KUWA NCHI YA KIGAIDI JAMANI KWANINI SERIKALI ISIWAPE WANANCHI ULINZI MZURI?????? MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. TANZANIA INAHITAJI MAOMBI TUNAAIBISHA KWA MAUAJI, MADAWA YA KULEVYA YAANI MUNGU ATUREHEMU.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...