Search This Blog

August 3, 2013

BAADA YA KUFUNGUA KAMPUNI KUBWA AFRICA SWAHILI MEDIA MAREKANI MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" AMUITA SUGE KNIGHT KWA AJILI YA PROMOTION


    Alex Kassuwi akimpokea Mario Hugh knight Jr. aka Suge Knight alipokuwa anawasili kuitikia mwito wa "THE CEO" Davis Mosha. Ambapo walijadiliana jinsi ya kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA nchini Marekani. THE CEO alimuita Suge Knight kutokana na uzoefu wake katika branding na promotion. Suge ni mjasirialiamali na mwekezaji mkubwa, na ni muasisi na alikuwa CEO wa  Black Kapital Records na vilevile ni muasisi mwenza na CEO wa zamani wa Death Row Records. Amewapa mafanikio makubwa wasanii Tupac Shakur, Dr. Dre, Snoop Dogg aka Snoop Lion, Outlawz na Tha Dogg Pound. 

   Suge akiwasili kumuona "THE CEO" Davis Mosha under escort

  Suge Kabla ya kumuona THE CEO alitambulishwa kwanza kwa mtoto wa Davis Mosha, Edgar Mosha. Kulia ni Mayor wa L.A. Bwana Deo Temba.

 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na THE CEO Suge alipata picha ya ukumbusho

  Mayor wa L.A. Deo Temba, Edgar Davis, Suge Knight na THE CEO Mpiganaji Davis Mosha wakiwa pamoja JW Marriott L.A. LIVE

Crew walioambatana na Suge Knight kuja kumuona "THE CEO" Davis Mosha kwa ajili ya Kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA Marekani.

Suge knight alipokuwa akiondoka baada ya kikao na Mpiganaji Davis Mosha THE CEO.
PICHA NI MALI YA AFRIKA SWAHILI MEDIA
Blog zilizzoruhusiwa kutumia ni 3 tatu:
1. issa michuzi
2. William Malecela
3. Tanzanite Glamour
Kwa picha zaidi za Ma-celeb wa ukweli na Interviews tembelea
www.swahilitv.blogspot.comNo comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...